Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 22, 2011

TIGO YASAIDIA WALIOKUMBWA NA MAFURIKO DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Husiano wa Kampuni ya simu tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoka kwa ajili ya wathilika wa mafuliko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara

Maofisa wa kampuni ya tigo wakisaidia kutoa mizogo kwa ajili wa waathilikaOfisa Husiano wa Kampuni ya simu tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoka kwa ajili ya wathilika wa mafuliko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara

Ofisa Husiano wa Kampuni ya simu tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada walioutoka kwa ajili ya wathilika wa mafuliko ya mvua kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katikati ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam na Zanzibar Bw. Alex Msigara
kulia ni Diwani wa Kata ya Upanga Magharibi Bw. Godwin Mmbaga

misada ikitolewamisaada mbalimbali ikitolewa na tigo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...