Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 20, 2011

BENDERA AFUNGUA KONGAMANO LA KWANZA LA WARATIBU WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kushoto), akiagwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba baada ya kufungua kongamano la kwanza la Waratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) nchini, mjini Morogoro jana. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera , akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo.

Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani akitoa mada kuhusu mkakati wa CHF kwa wote.

Baadhi ya Waratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) nchini, wakishiriki katika kongamano la kwanza la kujadili na kuweka mikakati mbalimbali ya kuboresha huduma za mfuko huo, lililofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, mjini Morogoro jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kulia) pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa CHF, Athuman Rehani wakati wa kongamano hilo.

Naibu Mkurugenzi wa NHIF, Khamis Mdee akifafanunua mambo wakati wa kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...