Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 10, 2011

MASHINDANO YA SAFARI LAGER DARTS YAFUNGULIWA RASMI LEO.

MASHINDANO YA SAFARI LAGER DARTS YAFUNGULIWA RASMI LEO.

Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo(Wa pili kushoto) akifungua rasmi mashindano ya Safari Lager Darts Mkoa wa Dar es Salaam kwa kucheza (DADA) yaliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Darts Dar es Salaam (DADA),Azim Mohamed na Katibu msaidizi wa chama hicho,Kamdasi KibagoMeneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari
Na Michael Machellah

MASHINDANO ya Mkoa wa Dar es Salam ya mchecho wa Safari Lager Darts yamefunguliwa rasmi leo na Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo kwenye Ukumbi wa Club ya Urafiki Jijini Dar es Salam

Akizindua mashindano hayo amesema ni mara ya pili sasa wanadhamini mashindano hayo kwa Mkoa wa Dar es Salaam lakini ni changamoto kwa Kampuni ya TBL kupitia Bia ya Safari Lager kuangalia mikoa mingine baada ya kuona mafanikio kwa Mkoa wa Dar es Salaam

Akishukuru msaada wa udhamini huo Mwenyekiti wa Chama cha Darts Dar es Salaam,Azim Mohamed alisema wao wanaishukuru sana Kampuni ya TBL Kupitia Bia ya Safari Lager alisema wao wana washukuru sana na wanaomba makampuni mengine kuiga mfano huo.

Mashindano ya Safari Lager Darts yamea nza leo na yanatarajiwa kumalizika kesko na zawadi katika mashindano hayo mshindi wa kwanza atajinyakulia Shs.Laki sita,wa pili laki nne na wa tatu laki mbili.

Meneja wa Safari Lager akizungumza

Wchezaji wakifuatilia

Wachezaji wakifuatilia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...