Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, December 18, 2011

MAALIM SEIF AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR


MAKAMO KWA KWANZA WA RAIS, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD,AKIZUNGUMZA NA WAANDHISHI WA HABARI,HUKO KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZAMANI KUHUSIANA NA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA KULIA NI WAZIRI WA NCHI AFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS,FATMA ABDULHABIB FEREJ (PICHA NA HAMAD HIJA,MAELEZO ZANZIBAR)
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA WANAMSKILIZA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS HAYUPO PICHANI WAKATI ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NAO KUHUSU MAFANIKIO YA MWKAA MMOJA WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...