Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 10, 2011

MASHINDANO YA CECAFA CHALLENGE CUP UGANDA YATWAA UBINGWA.

MASHINDANO YA CECAFA CHALLENGE CUP UGANDA YATWAA UBINGWA.
Na Michael Machellah
MASHINDANO ya CECAFA CHALLENGE CUP yamemalizika punde katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam muda mfupi uliopita ambapo timu ya Taifa ya Uganda imefanikiwa kutwaa ubingwa kwa penati baada ya kuiondoa timu ya Rwanda mabao 5-4.

Dakika 120 timu hizo zilimalizika kwa kufungano mabo mawili kwa mawili hivyo kulazimika kupigwa penati ambapo Uganta imepata penati tatu na Rwanda penati mbili ambapo matokeo ya jumla Uganda 5 na Rwanda 4

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...