Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 15, 2011

Zawadi za Airtel Mzuka zaanza Kumiminika


Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (kushoto)akimkabidhi moja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel bwana Yusuf Semi Samsung Tablet baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe ikiwemo simu,ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu.
Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Dangio Kaniki (Kushoto ) akimkabidhi moja kati ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel bwana Murtaza Aliraza Samsung Tablet baada kuibuka mshindi wa wiki ya kwanza ya promosheni hiyo ambapo wateja mbalimbali wa Airtel wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kabambe ikiwemo simu, ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu.

Baadhi ya washindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel wakiwa na zawadi zao aina ya Sumsung Tablets mara baada ya kuibuka washindi na kukabidhiwa zawadi hizo katika makao makuu ya Airtel Tanzania, pamoja nao pichani ni mwakilishi wa Airtel (wa pili kushoto) Afisa Uhusiano Dangio Kaniki akifurahia kwa pamoja ushindi kwa wateja hao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...