Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 15, 2011

MATUKIO YA PICHA KATIKA UZINDUZI WA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA NBC LEO


Mkurugenzi wa Benki ya NBC Rawlence Mafuru akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa benki hiyo leo wakati alipozinduz rasmi Kituo cha kutoka Huduma kwa wateja NBC Contact Centre) kikiwa na lengo la kuboresha mitazamo na uzoefu wa wateja kwa benki hiyo kote nchini Kushoto ni Ngwitika Mwakahesya Meneja wa Kituo cha Mawasiliano huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi wa Benki ya NBC Rawlence Mafuru kulia akizungumza na Maharage Chande Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC mara baada ya kuzidua rasmi kituo cha huduma kwa wateja cha benki hiyo. Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali nao walikuwepo katika hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni wadau wa NBC Eddy, Masanja, Albert na Arden wakipozi kwa picha.
Wafanyakazi mabalimbali nao wamejumuika katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi mabalimbali nao wamejumuika katika uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...