Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 10, 2011

MENEJA WA BIA YA CASTLE LITE AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TBF LEO

MENEJA WA BIA YA CASTLE LITE AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TBF LEO

Meneja wa Bia ya Castle Lite,Pamela Kikuli (kushoto),akimkabidhi tshirt Katibu msaidizi wa TBF,Michael Maluwe kwa ajili ya mashindano ya Castle Lite Basketball Taifa Cup yanayoanza kesho zenye thamani ya Shilingi Milioni 5.6.

Na Michael Machellah

MENEJA wa Bia ya Castale Lite, Pamela Kikuli leo amekabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania,Michael Maluwe vyenye thamani ya Shs.Millioni 5.6 ambavyo ni Tshirt kwa wachezaji wa timu zote,Tshirt 350 kwa ajili ya mashindano ya Castal Lite Basketball Taifa Cup na baadae watawakabidhi tena 350 wakati wa kufunga mashindano hayo.

Katibu Mkuu Msaidizi Michael Maluwe alishukuru msaada huo na kuyaomba makampuni mengine yaige mfano wa Kampuni yaTBL kupitia Bia ya Castal Lite walivyofanya kudhamini mashindano hayo kwa kiasi kisichopungua Millioni 28.


Asante sana....

Meneja wa Castle Lite,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari

Pamela akizungumza

Katibu Maluwe akizungumza

Michael akizungunza

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...