Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 23, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MAFURIKO DAR


Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi waliokuwa upande wa pili wa Mto Msimbazi, walioathirika na mafuriko kutokana na maji yaliyojaa katika nyumba zao na maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, bbada ya mvua kubwa iliyonyesha kuanzia juzi na kusababisha maafa makubwa kwa wakazi wa jijini.
Rais Jakaya Kikwete, akifunua moja ya kifaa kilichokuwa kimehifahia chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika na mafuriko leo.
Baadhi ya wananchi wa maeneo ya Upanga walioathirika na mafuriko wakiwa katika foleni ya kusubiri mgao wa chakula.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...