Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 15, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI KAMPALA KWA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA


RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA (ICGLR) ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH. MICHAEL CHILUFYA SATA (KUSHOTO) NA RAIS MWAI KIBAKI WA KENYA KATIKATI WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA UNAOFANYIKA NCHINI UGANDA
RAIS KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
RAIS MICHAEL SATA AKIMKABIDHI RAIS MUSEVENI UNENYEKITI WA ICGLR KATIKA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
WAJUMBE MBALIMBALI WA MKUTANO HUO WAKIWA KATIKA UKUMBIWA MKUTANO.
RAIS jAKAYA kIKWETE AKISALIMIANA NA JOSEPH BUTIKU KURUGENZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE FOUNDATION WAKATI ALIPOWASILI NCHINI UGANDA LEO ASUBUHI KATIKATI NI WAZIRI WA SOPHIA SIMBA WAZIRI WA JINSIA WANAWAKE NA WATOTO.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...