
Ramadhani Nassibu akinyoshwa mkono juu na Refarii Said Chaku wakati wa mpambano wake na Antoni Kairuki

Ramadhani Nassibu akipambana na Antoni Kariuki wa kenya Jana

Baadhi ya mashabiki wa ngumi wakiwa wamesimama kwa ajili ya wimbo wa taifa wakati wa mpambano wa kirafiki wa kimataifa

Rais wa TPBO Yasini Abdallah Ostadhi akizungumza wakati wa mpambano uho

Rais wa Chama cha Ngumi za KUlipwa TPBO Yasin Abdalah akitangaza matokeo

Shabiki wa mchezo wa ngumi Chidi Mzee wa Mbele akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake wa kusapoti ngumi kupitia kipindi chake anachokienbdesha ALLY MKONGO wa ITV kulia ni Yasini Abdallah Ostadhi

Promota wa SIku nyingi Filimon Kyando 'Don King' akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa kuendeleza masumbwi mtangazaji Fadhili Swala wa Mlimani TV

Shamra shamra za mashabiki
No comments:
Post a Comment