Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 22, 2013

MASHALI, MIYEYUSHO WAJIANDAA KUWAKABILI WAKENYA KATIKA USIKU WA MATUMAINI

Francis Miyeyusho (kulia) akimtupia konde Thomas Mashali wakati wa mazoezi jana

 
Miyeyusho akijifua kumkabili bondia Shadrack Machanje kutoka Kenya.
 
Mashali akipasha tayari kuzipiga na bondia Patrick Amote wa Kenya.
Mabondia hao katika pozi la kuzipiga wakati wa mazoezi ya jana

Francis Miyeyusho (kulia) akimtupia konde Thomas Mashali wakati wa mazoezi jana
 Mashali (kushoto) akikwepa konde la Miyeyusho.
---
 Mabondia wa hapa nchini Thomas Mashali na Francis Miyeyusho Jana wamefanya mazoezi ya pamoja katika gym iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wanajiandaa kuwakabili wenzao kutoka Kenya ambao ni Patrick Amote na Shadrack Muchenje kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.PICHA NA MUSA MATEJA / GPL

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...