Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 25, 2013

MAVETERANI WA WANOGESHA BONANZA LA MBUNGE UKONGA


 Mbunge wa jimbo la Ukonga  Eugene Mwaiposa akimkabidhi jezi kapteni wa  timu ya vijana wa CCM wa jimbo hilo Abubakari (fulana ya bluu) wakati walipoalikwa kwenye bonanza la maveterani wa jimbo hilo.
 Mbunge wa Jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa akikagua timu za Kigogofresh na Tumaini kabla ya kuanza kwa mpambano wao kwenye bonanza la Maveterani lililoandaliwa na mbunge huyo mwishoni mwa wiki eneo la Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, matokeo ya mchezo huo Kigogo ilishinda 2 kwa 1.
 Uzinduzi
 Wazee wa jimbo la Ukonga wakipambana kumkamata kuku wakati wa bonanza la jimbo hilo mwishoni mwa wiki.
 Wazee wa jimbo la Ukonga wakipambana kumkamata kuku wakati wa bonanza la jimbo hilo mwishoni mwa wiki. 
 Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bombani Pugu akishangilia mara baada ya kukamata kuku aliyeshindaniwa na Wazee wa eneo hilo ikiwa ni miongoni mwa michezo iliyofanyika kwenye bonanza lililoandaliwa na mbunge wa jimbo la Ukonga Eugene Mwaiposa mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...