Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 29, 2013

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wapili kushkto) akizungumza na Wabunge kutoka kulia, John Cheyo Bariadi Mashariki (UDP), James Mbatia wa kuteuliwa  (NCCR Mageuzi) na Mansoor Shanif Hiran  mbunge wa Kwimba (CCM) nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.Kushoto ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akisalimiana na Mkurugenzi wa Masama Promotion, Alex Msama nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 27,2013.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (kulia) akifurahia jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini na Waziri Kivuli wa Wizara hiyo kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni, Joseph Mbilinyi nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Terezya Huvisa akisisitiza jambo wakati akiongea na wapigapicha za Habari nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Mazungumzo makubwa yalikuwa juu ya Usafi hasa jiji la Dar es Salaam. Dk. Huvisa alisema jiji sasa litakuwa safi na tayari mkakati wao umekutana na ziara ya Rais Obama wa Marekani hivyo utakuwa endelevu. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...