Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 25, 2013

MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO1aMtangazaji wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria akiwa amewashikilia watoto wake Lingatone Kileo kulia na Lincorn wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika mtaa wa Samora na kupaza sauti kuomba msaada kwa Rais Jakaya Kikwete na watanzania kwa ujumla ili kusaidiwa na kujua aliko mume wake Henry Kileo ambaye inadaiwa amepelekwa Igunga akituhumiwa na kesi huko Joyce Kiria amesema mpaka sasa hajaambiwa kama mume wake yuko wapi hivyo hata kama ana makosa anaomba afahamishwe kwani hajui kinachoendelea mpaka sasa 3Joyce Kiria akifafanua mambo mbalimbali mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam huku akiwa amewabeba watoto wake na ndugu zake wengine wakiwa na mambongo yenye ujumbe mbalimbali 4Joyce Kiria akendelea kujibu maswali kadhaa ya wanahabari wakati akizungumza nao  jijini Dar es salaam.Habari Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...