Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 15, 2010

VYUO VILIPOSHINDANA KATIKA POOL



mchezo wa pool si mchezo mwanzo mwisho mpaka kieleweke
mchezo ukiendeleaa>





Washabiki wa mchezo wa pool wakifatilia michuano ya vyuo vikuu yanayoenderea katika viwanja vya uvukwe wa koko Dar es salaam



Mchezaji wa mchezo wa pool timu ya Chuo cha Uhasibu Baraka Hakiel, akijitaarisha kupiga mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo juzi kwa wanavyuo yanayo malizika Dar es salaam leo.(Picha na Rajabu Mhamila)




Mchezaji wa mchezo wa pool timu ya Chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere, Zayumba Rafael, akijitaarisha kupiga mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo juzi kwa wanavyuo yanayo malizika Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...