Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 17, 2011

"Anti-Corruption Squard" wametua ndani ya kambi FFU- Ughaibuni !

Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona "Rushwa ni Adui wa Haki" kutoka kwao
Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa wimbo huo umetua
na unasikika katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFUughaibuni. wimbo huo wenye mistari mitatu mitamu na mingine ya uchachu lakini yote ina
umuhimu wake kwa jamii...,unasikika at www.ngoma-africa.com

Pia kikosi cha Ngoma Africa band kitumbuiza jukwaani jumamosi 25.06.2011 mjini Heidelberg, na Jumapili 26.06.2011 mjini Freudenstadt,huko Ujerumani.
wasikilize FFU at www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...