Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

MAFUNZO YA UKOCHA WA SOKA


Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Jan Poulsen (kulia), akitoa mafunzo kwa makocha wa mpira wa miguu leo katika semina iliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Baadhi ya makocha wa mpira wa miguu nchini wakijituma wakati wa mafunzo ya mchezo huo katika semina iliyoendeshwa na Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Jan Poulsen (kushoto), kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...