Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

DK BLALI AHOJIWA NA REDIO UN MAREKANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa Redio ya Umoja wa Mataifa (UN), Flora Nducha, muda mfupi baada ya kuhudhuria mkutano wa majadiliano kuhusu masuala ya ukimwi ulioandaliwa na Umoja wa Mataifa unaofanyika jijini New York, Juni 10, 2011, jijini New York. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu akiwa na baadhi ya watanzania waishio Marekani
Makamu wa Rais, Dk.Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wenzake kutoka nchi mbalimbali wakati akishiriki mkutano kuhusu Ukimwi jijini New York, Marekani (PICHA NA MUHIDIN SUFIANI-VPO)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...