Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

UCHAGUZI KIKAPU DAR KESHO

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kufanyika kesho jijini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...