Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 17, 2011

Mama Salma Kikwete Azindua Kitabu Cha Chandarua Salama Chenye Kutoa Elimu Juu Ya Malaria

Mama Salma Kikwete akihutubia
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilimani Sesame na kujaribu kuwafundisha kitabu alichokizundua jana Dar es Salaam cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria ugonjwa hatari unaosababisha vifo vingi kuliko ugonjwa mwingine wowote nchini hususani kwa akina mama wajawazito na watoto.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akioneshwa kitabu cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria kutoka kwa Mwakilishi wa Zinduka- Malaria no More, Sadaka Gandi Dar es Salaam jana.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...