Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 1, 2011

OFISI YA CAG YASAINIANA MKATABA NA PPRA


Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovic Outoh (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa PPRA (CEO-PPRA) Dr. Ramadhan Mlinga (kushoto) wakisainiana hati ya mkataba leo jijini Dar es Slaam wa makubaliano ya mashirikiano ya ukaguzi katika Sekta za Umma kwa ajili ya maboresho zaidi. Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZOMkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovic Outoh (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa PPRA Dr, RamadhanMlinga, wakibadilishana
hati za makubaliano ya ushirikiano wa ukaguzi katika sekta za umma nchini leo.

Picha ya pamoja baina uongozi wa ofisi ya CAG na PPRA.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...