Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 2, 2011

MO Ayapinga 'Jeki' Mashindano Ya Riadha Afrika Mashariki Na Kati


|
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya MeTL ambaye pia ni msaidizi wa Mh. Mohammed Dewji (Mb) Esther Dotto akikabidhi mchango katoni 42 za maji safi ya kunywa ‘ MAISHA’ yanayotengenezwa na Kampuni ya A-ONE Products and Bottlers ambayo ni moja ya makampuni ya MeTL kwa Mkurugenzi wa Radio One Deogratius Rweyunga kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati yatakayofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 3-4 June, 2011.

Katoni za maji safi ya kunywa aina ya MAISHA yanayotengenezwa na moja ya kampuni ya MeTL yaliyokabidhiwa kama mchango kwa ajili ya mashindano hayo.(Fullshangweblog)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...