Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 26, 2011

TANZANIA YAPATA TUZO YA UN KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, Tuzo ya UN ya mshindi wa pili ya Tanzania katika kutoa huduma bora kwa Jamii (Mkurabita) , wakati Makamu alipofika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Juni 23, 2011 kufunga maadhimisho ya siku ya Utumishi ya Umoja wa Mataifa na Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kwa hafla hiyo kuadhimishwa Barani Afrika na kufanyika nchini Tanzania. Picha na Muhidin Sufiani-OMRs

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...