Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 2, 2011

FLAVIANA MATATA FOUNDATION....FMF LAUNCH


HONGERA FLAVY KWA KUANZISHA HUU MFUKO NA KUWA MWANAMITINDO WA KWANZA AMBAYE UMEFUNGUA MFUKO AMBAO UTASAIDIA WAMAMA NA WATOTO WENYE MATATIZO KATIKA NYANJA MBALIMBALI... nina hakikaaa umetupa changamoto ya kutosha ukiachilia mbali umri wako na tangu muda ulioanza kufanya uanamitindo kama kazi.... NAKUOMBEA KILA LA KHERI MALENGO NA UYATAKAYO YATIMIE .....sasa ni kazi tu....HONGERA ...
im happy for u toto ...XOXO
Mwamvita ,Ruge..walezi wa FMF
serikali nayo ilitia mkono wake kwenye FMF

Da TED nae alikuwepo kumpa shavu Flavy nafurahi ona wadada wanawasuppotiana


YESSSSS!! Manguli kibao wa fani mbalimbali walikuwepo kuipa shavu FMF
Mandhariii ilinoga hv


yes kama kawa Kanumba aliwakilishaaaa kutoka bongo Movies.....bi up Bro unajichanganya inapendezaaa

Yessss aunt nae alikuwepo kuwakilishaaa....huyu nae ni mmoja wa waigizaji ambao wanajimix .statement maker...fashion Dare Ally aliharibu kama kawa
Mwamvitaaa nae ni mmoja wa wadada anayetupa shavuuu saana ....nafurahi kwa kuipa shavu FMF

Ah mama ZURI weee utasema hujashushaaa.....;)
bloggers....wanene walikuwepooooo kumpa support Flavy
COLOR COMBOOO

ANKO MO ...nae ni mhusika wa FMF shkran kumsupport

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...