Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 4, 2011

NGUMI ZAENDELEA KUHAMASISHWA ILALA

safari Berdard akichuana na Sijari Harubu

Bondia Mohamed Matibwa wa Matimbwa Boxing akitupa konde bila ya mafanikio kwa Ibrahimu Class wa Amana Boxing 'Class'

alishinda kwa K,O raundi ya nne wakati wa mpambano wa kuhamasisha mchezo wa ngumi mkoa wa Ilala uliofanyika katika

ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...