Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 17, 2011

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Mabalozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akiagana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania Ibrahim Mukiibi,baada ya mazungumzo yao Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania Ibrahim Mukiibi,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kuonana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akiagana na Balozi Mdogo wa Misri nchini Tanzania anayeishi Zanzibar,Walid Mohamed Ismail,IKulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na Balozi mdogo wa Misri nchini Tanzania anayeishi Zanzibar,Walid Mohamed Ismail,IKulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akisalimiana na Balozi Sudan nchini Tanzania AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,akizungumza na Balozi Sudan nchini Tanzania AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...