Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 1, 2011

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA TEMEKE LEO

Madiwani wa wilaya ya Temeke wakiwa katika kikao chao leo kinachofanyika kila baada ya miezi katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke. Picha na Anna Nknda-MAELEZOMstahiki Meya wa wilaya ya Temeke (kulia) Maabad Hoja akiingia katika

ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi za manispaa ya Temeke kwa ajili ya
kuanza kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika leo.
Baadhi ya madiwani wa wilaya ya Temeke wakifuatilia kwa umakini maswali na majibu yaliyokuwa yanajibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Eng. Gaston Gasama (hayupo pichani) wakati wa kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke.

Baadhi ya Madiwani wakifuatilia maswali na majibu kwa umakini wakati Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, akijibu maswali hayo.


http://sufianimafoto.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...