
Wasanii wa Bendi ya Mtaani ya IFA - kutoka Ifakara yenye maskani yake Kigogo Murahati jijini Dar es Salaam ikitoa burudani kwa mafundi wa magari wa Gereji ya Mwinjuma Dar es Salaam sambammba na wacheza shoo wake

Mcheza shoo , Majuto Madodo akionyesha umahiri wake

Mziki kwa kwenda mbele
No comments:
Post a Comment