Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifurahia kitita cha Sh 500,000, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo vya Dar es Salaam, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Coco Beach 
Mashabiki,wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wakifuatilia michuano.

Kazi ipo..

Mchezaji wa IFM, Charles Venance akicheza

Chales akicheza

Wachezaji wa CBE wakifuatilia fainali kwa makini

Wachezaji wa IFM wakifuatilia fainali

Mchezaji wa CBE akicheza

Mratibu,Innocent Meleki akifuatilia kwa makini

CBE wakikata taamaa huku baadhi wakiomba Mungu aingilie kati.

IFM wakishangilia na kucheza baada ya kuibuka mabingwa

IFM wakicheza

IFM wakimshukuru Mungu baada ya kuibuka Mabingwa

IFM wakishangilia

IFM wakishangilia wakati wakisubiri kukabidhiwa kitita cha 500,000

Wachezaji wa timu ya IFM, wakiwa na furaha kabla ya kukabidhiwa zawadi yao ya 500.000.
Mratibu wa mashindano ya Pool kwa Higher Lerning,Innocent Meleck akimkabidhi zawadi ya kitita cha Sh 500,000 nahodha wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),Rashid Mashaka baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam
Mratibu wa mashindano ya Pool kwa Higher Lerning,Innocent Meleck akimkabidhi zawadi ya kitita cha Sh 500,000 nahodha wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),Rashid Mashaka baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam
Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifurahia kitita cha Sh 500,000, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo vya Dar es Salaam, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Coco Beach
No comments:
Post a Comment