Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 13, 2011

DK SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA JUMUIA YA JUWAPO ,FUONI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Jumuiya ya JUWAPO,Fuoni Kibondeni wilaya ya magharibi, jumuiya hiyo inajishuhulisha na ufugaji ngo'mbe wa maziwa na pia kutengeneza mtindi kwa kutumia mashine maaluam za kisasa.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...