Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

MOTEMA PEMBE YAWASILI KUIVAA SIMBA

Wachezaji wa timu ya Motema Pembe itakayomenyana na Simba Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, wakiwa akwenye Uwaja wa Ndege wa Kimataifa ya Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuawasili leo jioni. (Picha na Nkoromo Daily Blog)
Mmoja wa wachezaji wa Motema Pembe akificha sura mbele ya kamera ya Nkoromo Daily Blog, timu hiyo ilipowasili leo jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Haikuweza kufahamika kwa nini aliamua kufanya hivyo pengine kikwao ina maana fulani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...