Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 17, 2011

NGUMI KAMBI YA ILALA MAFUNZO YA AWARI


Kocha Kondo Nassoro akimuonesha jinsi ya kupiga ngumi Zainabu Mhamila (Ikota Super D) uku nyuma akisimamiwa na Kocha Mkongwe Habibi Kinyogoli wakati wa mazoezi yaliyofanyia katika kambi ya Ilala mchezo wa ngumi umekuwa ukionekana kuwa ni uwadui wakati ni miongoni mwa michezo inayopendwa na kutamba Duniani
Kocha Kondo Nassoro akimuonesha jinsi ya kupiga ngumi Zainabu Mhamila (Ikota Super D) uku nyma akisimamiwa na Kocha Mkongwe Habibi Kinyogoli jinsi ya kuweka gadi,katikati ni Salim Juma nae akisubili mafunzo wakati wa mazoezi yaliyofanyia katika kambi ya Ilala mchezo wa ngumi umekuwa ukionekana kuwa ni uwadui wakati ni miongoni mwa michezo inayopendwa na kutamba Duniani
Kocha Kondo Nassoro akimuonesha jinsi ya kupiga ngumi Zainabu Mhamila (Ikota Super D) uku nyuma akisimamiwa na Kocha Mkongwe Habibi Kinyogoli jinsi ya kutembea na kutupa makonde,katikati ni Salim Juma nae akisubili mafunzo wakati wa mazoezi yaliyofanyia katika kambi ya Ilala mchezo wa ngumi umekuwa ukionekana kuwa ni uwadui wakati ni miongoni mwa michezo inayopendwa na kutamba Duniani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...