
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Chocky akiimba wakati wa onyeso la Bendi hiyo lililofanyika Mzalendo Pub Dar es Salaam

Kutoka kulia ni Banza Stone ,Ally Chocky na Rama wakiimba

Mwambaji wa Bendi hiyo Rama Pentagoni akiimba

Banza Stone akiimba

Athanas Motanabe akkimba

Mpiga bass, Hosea Mgoati akifanya vitu vyake

Ally Choki akicheza sambamba na wacheza shoo wake
No comments:
Post a Comment