Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 2, 2011

Books handover to four secondary schools in Mtwara region

Baadhi ya waalimu wa shule ya sekondari ya Mkonjowano, wakitazama kwa furaha, sehemu ya vitabu vya msaada vilivyotolewa na Kampuni ya Airtel kwa shule nne za mkoa huo. Ikiwa ni katika kutimiza juhudi za kusaidia jamii hapa nchini, Airtel imekabidhi msaada wa vitabu vya kiada na ziada kwa shule za sekondari Mkonjowano, Naputa, Mkundi na Nachunyu, ambazo kila moja imepokea vitabu vyenye thamani ya shilingi milioni moja. Makabidhiano ya msaada huu yalifanyika wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara jana.

Afisa Elimu Mwandamizi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Nyambega Salum (kulia) akimkabidhi mmoja kati ya wanafunzi wa shule ya Sekondary ya Mkonjowano, sehemu ya vitabu vya msaada vilivyotolewa na Kampuni ya Airtel kwa shule nne za mkoa huo. Ikiwa ni katika kutimiza juhudi za kusaidia jamii hapa nchini, Airtel imekabidhi msaada wa vitabu vya kiada na ziada kwa shule za sekondar

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...