
Bondia Francis Cheka akinyoshwa mkono juu na Refarii Omari Yazidu katikati wakati wa kutangaza mshindi picha na
SUPER D BOXING COACH

Bondia Daniel Wanyonyi kushoto akitupa ngumi kwa bondia Cheka jana katika uwanja wa Jamuhuru Morogoro picha na
Super D Boxing Coach


Bondia Wanyonyi akiendelea na Mashambulizi wakati wa mpambano uliofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro jana Cheka alishinda kwa point picha na
Super D Boxing Coach

Asikali polisi wakimalisha ulinzi mkali uku wakiwa na mabomu ya kutoa machozi jana picha na
Super D Boxing Coach
No comments:
Post a Comment