Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

KINARA WA JAZZ MASEKELA ATUA DAR


Mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini, Hugh Masekela (kulia) akielezea katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu jinsi alivyojiandaa kwa onesho litakalofanyika kesho kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam. Kushoto ni Sauda Kilumanga ambaye naye atafanya shoo ya utangulizi. Onesho hilo limedhaminiwa na Benki ya Stanbic.
Sauda Kilumanga akizungumza

Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano akizelezea kuhusu shoo hiyohttp://richard-mwaikenda.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...