Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 13, 2012

BENDI YA MSONDO NGOMA YENDELEA KUTOA BURUDANI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR


Msanii Mpya wa bendi ya Msondo ngoma, Shabani Lendi (kushoto) akipuliza Saxphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mngande na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D .(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hasani Moshi,Shabani Dede,Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na mwimbaji Juma Katundu.(Picha na www.burudan.blogspot.com)BAADHI YA WAPENZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA WAKIONGOWA NA MSEMAJI WA BENDI HIYO RAJABU MHAMILA SUPER D KULIA WAKILISAKATA LUMBA LA MSONDO NGOMA
Msanii mpya wa bendi ya Msondo ngoma Shabani Lendi Akifanya vitu vyake wakati wa Onesho Hili

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...