Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

BLOGERS NA MABOSI WAO WAKISHOO LOVE KWA PICHA

Kutoka kushoto ni Imani Lwinga Meneja wa Mawasiliani (SBL), Nandi Mwiyombela Meneja Mahusiano ya Umma (SBL), Ahmad Michuzi Mzee wa Jiachie, Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano (SBL), John Bukuku mzee wa Fullshangwe na Mroki Mroki Father Kidevu wakipiga picha ya pamoja wakati wa safari yao hii leo ya kuelekea Mkoani Iringa katika wiki ya maadhimisho ya Maji 2012 ambayo kitaifa inafanyikia mkoani Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti ambayo wanafanyia kazi Teddy, Nandi na Imani huku Mroki, Bukuku na MichuziJr ni timu ya mapacha wa 3 kutoka Blogs ambao hufanya kazi za SBL. Picha hii ilipigwa Mikumi mkoani Morogoro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...