Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 20, 2012

PROF. IBRAHIM LIPUMBA AFUNGUA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA KUU LA CUF

Mwenyekiti wa Chama wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Haruna Lipummba katikati akiongea na wajumbe wa baraza kuu la (CUF) katika ukumbi wa Lamada Hotel leo jijini Dar es salaam, katika ufunguzi wa mkutano wa kawaida wa baraza la chama hicho wa kwanza kutoka kulia ni Naibu katibu mkuu wa (CUF) Zanzibar Jusa Ismail , Katibu mkuu wa chama hicho na Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Seif Sharif Hamad na kushoto ni mwenyekiti msaidizi Taifa Bw.Machano Khamisi Ally.
Baadhi ya wajumbe walioudhuria katika mkutano huo wakimsikiliza mwenyekiti wa chama hicho Prof Ibrahim Lipumba wakati alipokuwa akifungua mkutano huo. (PCHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...