Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 13, 2012

JK AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAAM KUHUSU SULUHISHO LA MGOMO WA MADAKTARI

Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuhusu suluhisho la mgomo wa madaktari. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Idd Simba.
Sehemu ya umati wa wazee wa mkoa wa Dar es Salaam uliohudhuria mkuatano huo na JK
Mmoja wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, akiwa na ulepe wa usingizi wakati JK akizhutubia
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimpongeza Rais Jakaya Kikwete baada ya kumaliza kuhutubia
JK na viongozi wengine wakiondoka baada kumalizika kwa mkutano

JK akiongozana na Makamu wake, Bilal kutoka nje baada ya kumalizika kwa mkutano

JK akiagana na baadhi ya wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Dk. Bilal baada ya kumalizika kwa mkutano huo

1 comment:

  1. Kama sikosei, walihaidiwa ubwabwa, maana naona hata na vijana ma alwatani walikuwepo wakati hii ilibidi iwe kwa ajili ya wazee tu.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...