Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 20, 2012

DIDA WA TIMES ANASEMA FM BAADA YA KUWEKA MAMBO SAWA.. NARUDI HEWANI JUMATATU IJAYO, 26 MARCH... NIMEWAMIS WADAU!!


Baada ya kuweka mambo sawa..... takribani miezi mitatu sasa, napenda kuwajulisha ujio wangu mpya ndani ya Times 100.5 Fm

Tega sikio kama kawa kama dawa ktk frequency zilezile za Radio Times Fm kutokea Kawe Beach jijini DSM. Nitakuwa hewani na kipindi changu kilekile nilichokianzisha miaka nane iliyopita cha MITIKISIKO YA PWANI, na mishale ni ile ile Saa 6 mchana mpaka 10 jioni.

Wadau wa Dar na vitongoji vya karibu na Magomeni tutasomana ndani ya Traverntine Hotel ktk show kali ya Taarab na mduara jumapili ya Tar. 25 usiku

4 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...