Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

Naibu Katibu Mtendaji tume ya mipango aapishwa ikulu

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara akila kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili kushoto anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimrekebisha koti Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana Longinus Rutasitara muda mfupi baada ya kumuapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi .Kulia ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal aliyehudhuria hafla hiyo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...