Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

Ziara ya Waziri Samia Suluhu huko Pemba leo

waziri wa Nchi Ofisi ya Makomu wa Rais akivuka Mtaro wakati wa ukaguzi wa Ufugaji wa Samaki unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF huko Chambani katika Ushirika wa kwa Dawa Kichimba Chambani kisiwani Pemba.
Bi Amina Khamis muuza nyanya Soko la mbogamboga liliopo Furaha Wawi Akimpa Maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano Samia Suluhu Hasani kuhusu hali ya biashara katika soko hilo lilojegwa kwa ufadhili wa Tasaf Macemp.(Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...