Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 24, 2012

BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI (MEDIA DAY) LAPAMBA MOTO MSASANI BEACH CLUBMwandishi wa habari kutoka gaqzeti la Hoja Iche Mang'enya mzee wa Zengwe akimshushia kombora la ngumi Mpiga picha wa gazeti la The Express Said Khamis katika mchezo wa masumbwi uliokuwa ukifanyika hapo kulia ni Kocha wa mchezo huu Rajabu Mhamila Super D.

Mwalimu wa Masumbwi Super D. Mhamila akitoa maelezo kwa wachezji wa mpambano huo kulia ni Iche Man'genya na Said Khamis kabla ya mpambano wao.

Wadau kutoka TBC wakishoo Love.

Wadau kutoka Uhuru FM wakipozi kwa picha.

Mdau Saleh Ally katikati akishoo love na Veronika na Lajos Pistorius.

Wazamiaji nao kama kawaida walikuwepo kama tui la nazi. kulia ni Imma Mangesho na Nuno Kabezi.

Vimwana vya FM Academia vinavyotarajiwa kumwaga burudani kwa waandishi wa habari.

Mdau Edo Kumwembe kulia Iche Mang'enya wakifurahia juambo.

Timu za Times na Busness Time zikichuana vikali katika mpira wa miguu.

Mdau Douglas Sagawala katikati akiwa na wadau Emmanuel Zinga kushoto na Freddy Chelelo.

Wadau kutoka gazeti jipya la Fahamu nao wamejivinjari katika bonaza hilo kama unavyowaona wakipozi kwa picha.

Hapa nikiwa na Mdau DJ Q wapili kutoka kushoto na washkaji wengine kutoka vyombo mbalimbali.

Wadau kutoka Mwananchi katikati ni Kalunde Vick kushoto na Ruth wakipozi kwa picha.

Michezo imepamba moto kama unavyoona katika picha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...