Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 31, 2012

Nathan Mpangala wa Gazeti la Majira Ashinda Tuzo Ya Mchora Katuni Bora(EJAT).Nathan Mpangala Kwa wiki kadhaa sasa yuko mafunzoni nchini Mexico, akihudhuria kozi fupi ya waandishi wa habari, inayohusu Civil Resistance and Non violence Conflict. Hapa akiwa na baadhi ya washiriki wenzake toka sehemu mbalimbali duniani, wakiandaa michoro kwa ajili ya video itakayotumika kwenye kampeni ya familia zilizopoteza ndugu, jamaa na marafiki kutokana na mauaji ya kila siku yanayohusishwa na biashara ya dawa za kulevya.
Nathan Mpangala pia usiku huu ameshinda tuzo ya wachoraji bora wa katuni katika tuzo za (AJET) zilizoandaliwa na Baraza la Habari (MCT) zinazofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Hapa wakiendelea na kazi yao ya kuandaa katuzi hizo zinazohusu mauaji yanayotokana na madawa ya kulevya nchini Mexico.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...