Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 15, 2012

TBC WAILAZA FREE MEDIA BOYS 8-0 KATIKA MICHUANO YA NSSS 2012

Kapteni na Mshambuliaji wa timu ya Free Media Saleh Mohammed akiwania mpira leo katika viwanja vya DUCE hadi mpira unakwisha TBC waliifunga bao 8-0
Mshambuliaji wa timu ya Free Media Jimmy Ambrose, kulia akichuana na beki wa TBC Adam Ilomo.
Mshambuliaji wa Free Media Sale Mohammed kulia akimiliki mpira mbele ya beki wa TBC Adam Ilomo.
Saleh Mohammed akimiliki mpira jioni ya leo,

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...