Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

Sandton Sound Band: Wazee Wa Zengwe

Solorist huyu alitokea Bendi ya Police Jazz, anaitwa Peter George.
Anaitwa Moses Miliya, Kwa jina maarufu anafahamika
kama “Miwaya”. Mpiga Drum huyu alikuwa SOT Sound.
Kutoka kushoto ni mwimbaji Masongi, akifuatiwa na Francis Sheggy
na Christian Sheggy. Hawa walitokea Mik Sound


Baada ya maoni mengi kutoka kwa wadau, Bendi iliamua kum-recruit
mwanadada mrembo ambaye anaimba na kucheza kwa pamoja. Anaitwa Subira.

.

RATIBA YA WIKI HII NI KAMA IFUATAYO:

Ijumaa- WoodLand Bar pale Tiptop

Jumamosi- Anamwana Pub pale Kimara Rombo

Jumapili – Ni Mtongeni Bar pale Mbezi Kimara kibanda cha Mkaa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...