Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

MISS WORLD SASA KUFANYIKA MWEZI WA NANE NCHINI CHINA

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Miss Tanzania Bw.Hashim Lundenga katikati akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Hadee's jijini Dar es salaam, juu ya mabadiliko ya uendeshaji wa mashindano ya Miss Tanzania kuanzia mwaka huu kutokana na mabadiliko ya kalenda ya kutafuta mrembo wa dunia ambayo mwaka huu yanafanyika mwezi wa nane nchini china Kushoto ni mkuu wa itifaki Bw.Albert Makoye na kulia mtaalamu wa Miss Tanzania Dr.Ramesh Shah.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...