Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, March 14, 2012

SBL WAPIGA JEKI 10,925,000/= KWA AJILI YA TUZO ZA EJAT

Katikati ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL , Teddy Mapunda akizungumza katika hafla ya kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi mil .10,925,000/= kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) (kulia) Absalom Kibanda na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Kajubi Mukajanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...